HIZI BAADHI YA TAARIFA NA RIPOTI MBALIMBALI ZA TUKIO LA MAKONDA NA MAJIBU YA RAIS MAGUFULI wakati mwingine huwa wanasema mkubwa hakosei lakini hakuna kitukama hicho hatakama ukiwa mkubwa wa aina gani lazima tu kutelezakupo mimi sijui kuwa muheshmiwa hataki kukubali kama kakosea katika chaguolake au nivipi ILA SIO SAWA KUFUMBIA MACHO UWOVU WA KIONGOZI WAKE AMBAE AMEMUWEKA MADALAKANI KISHA AKIMSISITIZA WE CHAPAKAZI JE, KAZI ULIOMPA NDIOHIYO YAKUVAMIA VITUOVYA RADIO ..apo anatakiwa hilojambo kulitazama kwa jicho lapili sio kutumia cheo na kauli au nafasi alionayo HAKIKWANZA MENGINE BAADAE ...
Comments