sumaye akizungumzia skendo yaa makonda  leo katika mkutano baalum na waandishi wahabari jijini dar es salaaam ALICHOKISEMA KUWA RAIS ANATAKIWA KUSKILIZA WANANCHI SABABU WANA NCHI NDIO WALIO MUWEZESHA KUKAA KATIKA KITI KILE NA SWALA LA KUMCHAGUA KIONGOZI  ILIKUWA NI WAJIBU WAKE .... na  makonda alichi fanya nisawa na hatakama akisikia tena kuwa amevamia sehemu nyingine sawa pia hatoshtuka  ILA ALIE MPA UONGOZI ANATAKIWA ATAZAME TENA KWA MARAYAPILI ...   
Comments