Alikiba musical son from Tanzania ALIKIBA mwana music ambae ameibuka kuwa mshindi wa tuzo nyingi zaidi mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa AJE... ambao umetokea kupendwa nawatu wakila aina katika bara letu la Africa na nje ya Africa mbaka sasa mwana music huyo amejizolea masha bikiwengi Africa na nje ya Africa wakati wimbo wake wa Aje.. mp3 audio na video ukifanya vizuri katika TV na RADIO mbalimbali Africa na nje ya Africa .Alikiba akiwa amepewa jina la king of bongo flava Africa Hongera kwako by https://streetonetz.blogspot.com
Comments