Skip to main content

Posts

GOGO MUSIC

                                                                     HIVI ULIPATA KUFAHAMU  KAMA  MAREKANI HUKO KUNA AINA YA MUSIC UNAOJULIKANA KAMA GOGO MUSIC    AMBAO UNATAMBA SANA HUKO                                   wakati tanzania  ikija juu na musiki chipukizi wa singeli na ukionekana kufanya vizuri katika mitaa na mikoa mbalimbali ya tanzania   sasa wenzetu wana gogo music musiki ambao unapendwa sana huko pata kuskiliza hapo juu katika video ambayo nime share upate kujua ukoje huu musiki wa GOG MUSIC                                                    

CellPhoneTracker v.1.2.0.

DOWNLOAD                  tukisema tecknorojia imekuwa tena sio kidogo kwamaana  hapa ndipo   utapo fahamu umesha danganywa mara ngapi na mtu kupitia simu ya mkononi  sasa unaweza kutambua alie kupigia simu yupo wapi  mahali gani mtaa na  kama yupo ndani pia utapata kuona kupitia software hii CellPhoneTracker v.1.2.0.       download     -  Windows & Mac app     -  Android & iOS app      App supported for:  Android Apk/iOS/Windows/Mac

NJR_360_A.K.A_tumbilingeni - song - mikosi.mp3.mp3

DOWNLOAD

KOLABO_Kobelo & Njr360_song - mlete kati.mp3

DOWNLOAD

The World's Billionaires

see more                                                                                                                                                                            Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75, licha ya kupungukiwa dola bilioni 4.2 kutoka mwaka jana. Ameendelea kuwa namba moja kwa miaka mitatu mfululizo. Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amekuwa na mwaka bora zaidi kuliko mabilionea wote. Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 31, ameongeza dola milioni 11.2 kwenye utajiri wake hadi kushika nafasi ya 6 kutoka nafasi ya 16 mwaka jana. 1. Bill Gates – $75bn – Marekani 2. Amancio Ortega – $67bn – Hispania 3. Warren Buffett – $60.8bn – Marekani 4. Carlos Slim Helu – $50bn – Mexico 5. Jeff Bezos – $45.2bn – Marekani 6. Mark Zuckerberg – $44.6bn – Marekani 7. Larry Ellison – $43.6bn – Marekani 8. Michael Bloomberg – $40bn – Marekani 9. Charles Koch – $39.6bn – Marekan                                

Njr_360_song - ushilikina.mp3

DOWNLOAD pata kuskiliza na ku DOWNLOAD singeli music  WIMBO MPYA  NA MSANII MPYA WA SINGELI

sami waraji uzuri wako video coming soon whatsapp nimber +255 658 197 765

kaa tayari kuipokea video mpya ya sami waraji ambayo ipo jikoni sasaivi inatengenezwa hapa nimekuletea demo ya video hiyo upate kujua nini kinacho kuja kutoka kwa sami waraji