Skip to main content

Posts

The World's Billionaires

see more                                                                                                                                                                            Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75, licha ya kupungukiwa dola bilioni 4.2 kutoka mwaka jana. Ameendelea kuwa namba moja kwa miaka mitatu mfululizo. Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amekuwa na mwaka bora zaidi kuliko mabilionea wote. Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 31, ameongeza dola milioni 11.2 kwenye utajiri wake hadi kushika nafasi ya 6 kutoka nafasi ya 16 mwaka jana. 1. Bill Gates – $75bn – Marekani 2. Amancio Ortega – $67bn – Hispania 3. Warren Buffett – $60.8bn – Marekani 4. Carlos Slim Helu – $50bn – Mexico 5. Jeff Bezos – $45.2bn – Marekani 6. Mark Zuckerberg – $44.6bn – Marekani 7. Larry Ellison – $43.6bn – Marekani 8. Michael Bloomberg – $40bn – Marekani 9. Charles Koch – $39.6bn – Marekan                                

Njr_360_song - ushilikina.mp3

DOWNLOAD pata kuskiliza na ku DOWNLOAD singeli music  WIMBO MPYA  NA MSANII MPYA WA SINGELI

sami waraji uzuri wako video coming soon whatsapp nimber +255 658 197 765

kaa tayari kuipokea video mpya ya sami waraji ambayo ipo jikoni sasaivi inatengenezwa hapa nimekuletea demo ya video hiyo upate kujua nini kinacho kuja kutoka kwa sami waraji

Wema sepetu amjibu zari

Wema Asema Hampendi Tena Diamond, Hatishwi na vitisho vya Zari Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema alipokuwa akihojiwa na Sebo  mtangazaji wa EFM, kwenye kipengele kiitwacho Kabali ambapo wema aliambiwa  ajibu maswali kadhaa kama ndiyo au hapana na badaye kupewa nafasi ya kifafnua. Wame aliulizwa kama bado anampenda Diamond, na kama Zari ni tishio kwake kwa upande wa fasheni ambapo yote hayo Wema alijibu hapana na kijibu ndiyo alipoulizwa kama yeye ni Team Kiba. Akifafanua kuhusu kuhusu kutompenda tena Diamond Wema alisema kuwa kila kimkumbuka Diamond anamkumbuka kwa  mengi mabaya . “Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alisema. “Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu vizuri na ndio maana hata sasa hivi imekuwa hivyo. Vizuri vilikuwepo lakini mtu anaweza akafanya vizuri akaja kufanya kimoja tu kibaya na akaharibu vyote tisa,” aliongeza.

Alikiba musical son

Alikiba musical son from Tanzania     ALIKIBA  mwana music ambae ameibuka kuwa mshindi wa tuzo nyingi zaidi  mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa AJE...  ambao umetokea kupendwa nawatu  wakila aina katika bara letu la Africa na nje ya Africa  mbaka sasa mwana music huyo amejizolea masha bikiwengi Africa na nje ya Africa  wakati wimbo wake wa Aje..  mp3 audio   na video   ukifanya vizuri katika TV na  RADIO  mbalimbali  Africa na nje ya Africa    .Alikiba akiwa amepewa jina la king of bongo flava    Africa     Hongera kwako   by  https://streetonetz.blogspot.com