see more Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75, licha ya kupungukiwa dola bilioni 4.2 kutoka mwaka jana. Ameendelea kuwa namba moja kwa miaka mitatu mfululizo. Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amekuwa na mwaka bora zaidi kuliko mabilionea wote. Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 31, ameongeza dola milioni 11.2 kwenye utajiri wake hadi...